Successstory-page-banner4.jpg

News

News

13 Nov 2013

Dreams come true via a GPX 5000

Zimbabwe

Metal detector finds - gold

Ndoto huwa kweli kupitia GPX 5000

Tulikuwa katika eneo la Matabeleland wakati wa saa za mapema za siku tukiwa na lengo la kutafuta vibamba vya dhahabu. Hatua zetu 15 za kwanza tulipokuwa tukifuata GPX 5000 na dishi ya inchi 18 zilikoma tuliposikia sauti kubwa ya ishara tunayolenga, ambao kina chake kilikuwa chini ya mita moja.

Tulichimba eneo lengwa na tukapata kibamba halisi cha g 850. Lo! Tulishangaa na kuchanganyikiwa kwanza kwa sababu katika kazi yetu yote ya ugunduaji hatujawahi kuona kibamba kama hicho.Wazo ambalo lilitujia akilini ni kuwacha kutafuta na tusheherekee ushindi!!!

Asante kwa Minelab kwa mashine nzuri. Ni nzuri kabisa.

Matterazie - Mkoa wa Bulawayo, Zimbabwe

Bofya hapa kwa maelezo zaidi kuhusu GPX 5000 yetu

Bofya hapa kwa 'Mahali pa Kununua' Vigunduaji vya Dhahabu vya Minelab duniani kote.

DREAMS COME TRUE VIA A GPX 5000

We were in Matabeleland region in the early hours of the day determined to search for the gold nuggets. Our first 15 steps as we followed the GPX 5000 with an 18 inch dish were drawn into attention by a heavy noise of a target signal, whose depth was less than a meter.

We dug the target area and came across a solid 850g nugget. Wow we first shocked and puzzled because in our entire detecting job we had never seen such. The thought that came into the mind was to knock off from the hunt and celebrate the victory!!!

Thanks Minelab for the great machinery. You are the best.

Matterazie - Bulawayo Province, Zimbabwe

Click here for more information on our GPX 5000

Click here for 'Where to Buy' Minelab Gold Detectors worldwide

< back

Back to Top ↑

Website by Bridgehead ...Powered by WebTemplate